Reader Settings

Wanasemaga utu uzima dawa nah ii ndio ilionekana kwa Mama P , mabadiliko aliomuona nayo Mage yalikuwa yakimwambia kila kitu kuwa Mage alikuwa kwenye Mapenzi, kwani alivyokuwa amemzoa Mage sivyo , lakini swala likabakia huyo mwanaume Mage alietokea kumpenda ni nani.

“Mage hebu niambie nini kimekupata ili niweze kukusaidia”Aliongea Mama P mara baada ya kuingia ndani ya chumba cha Mage na kumkuta akiwa halii kama …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next