Reader Settings

Roma hakuuliza sana maswali ni wapi alipokuwa akitakiwa kumfuata Monuca , ila akili yake ilikuwa ishafanyakazi tayari na alijua tu , alikuwa akiendelea ndani ya ofisi ya CEO.

Akika chache walikuwa nje ya mlango wa ofisi ya Edna na wa kwanza kuingia alikuwa ni Monica

“Boss!, Roma is here”Aliongea Monica kwa Kingereza.

“Alright you may go out now”Aliongea Edna akimaanisha kwamba anaweza kutoka sasa.

Ndani …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next