Reader Settings

Edna alijikuta akikasirishwa na jambo hilo na sio kwamba labda ni kwasababu Roma hakumkumbuka , ila ukweli ni kwamba namna ambavyo Roma alikuwa anakunywa hio Wine haikuwa kistaarabu.

Goodman hakuamini Wine ambayo alikuwa ameitafuta kwa tabu na kutoa Zaidi ya Milioni arobaini za Kitanzania ni hio ambayo Rom alikuwa akiishusha kama Maji na kumfanya hata Edna amwangalie mzungu wa watu kwa macho ya huruma.

“I’m …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next