Reader Settings

Goodman alijikuta uso ukimshuka , alijua Roma alikuwa kweli ana njia kumbe alikuwa hana , alijikuta akijiegemeza kwenye kiti kama mtu aliekosa tumaini na ndani ya dakika chache mbele gari ilizidi kuyoyoma na ilikuwa kwenye spidi kali kweli .

“Roma Go to Hell”Aliongea Edna huku akimfinya Roma kwenye paja la Mguu baada ya kuona Roma anafanya utani kwenye hali ya kifo kama hio , ila …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next