“Kabwe nitaenda kumtembelea baba leo , Weka utaratibu wa kutoka baadae”Aliongea Mheshimiwa Senga mara baada ya kutoka ofisini akielekea upande anakoishi na familia yake na muda huo ilikuwa ni saa kumi za jioni na ni baada ya kumaliza kikao na muwekezaji kutoka Dubai.
“Sawa mheshimiwa”Aliongea Kabwe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa.
“Sitaki msafara wa watu wengi gari tatu zinatosha”Aliongea Mheshimiwa na kisha akAendelea kupiga hatua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments