Reader Settings

Sasa Goodman hakuangalia vizuri , ila alipoangalia chini ndipo aliweza kushuhudia Roma akiwa ameegemeza mguuu wake kwenye kichwa cha yule Jambazi Mwanajeshi na Damu zilikuwa zimetapaa chini.

“Wewe..we.. umewezajee!!?”Aliongea Goodma huku akijivuta kwa wasiwasi na kuangalia maiti iliokuwa chini kwenye sakafu.

“Mr Roma nimekukubali sana… nadhani ni muda wa sisi kuondoka , ili nirudi hotelini nikaoge,Ila hao Majambazi wengine unadili nao vipi”Aliongea Alice huku furaha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next