Reader Settings

“Swaaaashiii..!!” Ulikuwa ni mlio wa breki uliosikika baada ya gari zote mbili kupiga msele na breki kukanyagwa kwa nguvu na zikasimama na pale pale risasi zikaanza kulindima mfululizo huku nyingi zikigonga kwenye ubavu wa gari na kwenye Dirisha la kioo.

Edna katika Maisha yake yote hakuwahi kushuhudia tukio kama hilo la kushambuliwa risasi mfululiizo , kwa mara ya kwanza kwenye Maisha yake alikuwa kwenye vita, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next