Ni muda wa saa moja kamili za jioni gari tatu aina ya Range Rover Sport rangi nyeusi zilionekana ndani ya Bagamoyo Road zikipita eneo la Mbuyuni zikiwa kwenye mwendo zikielekea Tegeta , mbele kulikuwa na gari ambayo ilikuwa na wanausalama na katikati ilikuwa ni gari aliopanda mheshimiwa mwenyewe Senga, na siku hii hakuwa amevalia suti kama ilivyozoeleka akitoka ikulu, bali hapa alikuwa amevalia koti rangi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments