Reader Settings

Walinzi wa Mheshimiwa Raisi Senga , licha ya kwamba walikuwa wakifahamu raisi alikuwa akiongea na baba yake Mzazi , lakini wasiwasi ulikuwa umewatawala mno.

Ni Zaidi ya msaa manne yalikuwa yashapita na Mheshimiwa Senga hakuwa ametoka kwenye chumba alichokuwa akifanyia mazungumzo na baba yake na hili ndio jambo ambalo liliwafanya wawe katika hofu kubwa , walikuwa na wasiwasi na kile kilichokuwa kikiendelea ndani ya chumba …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next