Edna alijua sheria za chumba kama chake cha ‘Presidential suite’ ni ngumu kusumbuliwa ndio maana alishangaa , kwani hakuwa akitegemea mtu wa aina yoyote muda huo na kama ni Roma alikuwa kituo cha polisi, lakini vile vile hakuwa na ndugu ndani ya jiji la Paris.
Baada ya kujishauri kwa dakika chache alivaa visendo manyoya na kisha akatembea mpaka kwenye mlango na kisha akachungulia kupitia tundu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments