Alikuwa ni mwanamke mrembo wa Kizungu alievalia gauni la kulalia lililotengenezwa na malighafi za Chiffon, alikuwa mrembo haswa mwenye shingo kama za wawanawake kutoka Venezuela , licha ya kutokuwa na umbo kubwa , lakini alikuwa akivutia mbele ya macho ya mtazamaji,Kama ungeweza kumfananisha na msaniii yoyote mrembo ndani ya duynia ya sasa basi angefanana kwa asilimia kubwa na muimbaji Selena Gomez.
“Roma mpenzi , naonekana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments