Naam ni siku nyingine ya asubuhi ndani ya jiji la Paris , ndani ya chumba alicholala Roma, kilikuwa katika hali ambayo sio ya kawaida,Taa ya kitanda ilikuwa imedondoka chini , kitanda kilikuwa kimesogezwa kutoka sehemu kilipokuwepo na sasa kilikuwa katikaki , Meza ilikuwa juu ya Sofa , Shuka lilikuwa limetandikwa lilikuwa lipo chini ya sakatfu , huku Shati la Roma likiwa chini ya mlango wa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments