Edna baada ya kuangalia waliokuwa wakimuita , aligundua walikuwa ni Alice na Stern na ilibidi wasogelee.
“naona mmeamka mapema sana Alice na Stern,Vipi kuna jambo lolote naweza kuwasaidia?”Aliongea Edna
“Em ,, Miss Edna ni hivi mimi na mpenzi wangu tulishuka chini mgahawani kwa ajili ya kununua kahawa , lakini tulishindwa kwani kadi zetu za benki hatupo nazo baada ya tukio la jana, hivyo tunaomba utusaidia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments