Ijapokuwa muda wa kuanza kwa tukio la maonyesho hayo lilikuwa lishatimia , lakini kwa waandaaji hawakuanza tukio , walitaka kwanza kile kinachoendelea kiishe ndio mambo mengine yafuate.
Watu ilibidi watege masikio yao kwa umakini ili kupata kujua kwanini hawa watanzania walikuwa wakipewa heshima kubwa hata na Roma , maana hakuna hata mmoja ambaye alikuwa akiwatambua , kuna wengine walienda mbali mpaka kusema huenda Roma alikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments