Reader Settings

Edna alionekana kuwa na hasira , alionekana alikuwa na mambo mengi ambayo alikuwa ameyaweka moyoni muda mrefu , mrembo huyu kama ilivyokuwa tabia yake , tabia ya kutopenda kuuliza , lakini pia tabia ya kutopenda kujielezea ilimfanya kuficha mambo mengi sana na kuyakalia kimya , kwa mfano Edna tokea anafika Ufaransa alikuwa akifikiria swala la Roma Kwenda kujitambulisha nyumbani kwa Nasra, lakini swala lingine Edna …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next