Reader Settings

Edna licha ya Roma kubadilika , alionekana kutohofia kitu chochote , alimwangalia Roma pasipo hata ya kupepesa macho na alionekana alitaka jibu lake licha ya Roma kubadilika.

“Seventeen….. Seventeen na mtoto wake walishakufa zamani na sitaki tena kusikia ukilitamka hilo jina mbele yangu”Aliongea Roma kwa sauti isio ya kawaida.

“Huna haja ya kuzificha hisia zako, unaonekana kabisa kwenye moyo wako unashindwa kututofautisha mimi na Seventeen …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next