Muda ambao Roma na Sauroni walikuwa wakiongea upande mwingine kaskazini mwa jiji la Paris,katika bandari ya Le Havre ,inaonekana meli kubwa ya kifahari ikiwa imesimama , meli iliokuwa ikifahamika kw ajina la Louis XVI, ilikuwa ni meli ya kifahari kubwa yenye urefu unaolingana na nusu ya kiwanja cha mpira iliopakwa rangi ya Silver.
Upande wa kuingilia ndani ya meli hii kuna ngazi ndefu zilizofungwa kutoka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments