Sio Edna peke yake ambaye alikuwa kwenye mshangao , ila hata kwa Stern na Alice pia walishangazwa na jambo hilo , waliona kabisa huo ni uhalifu unaokusudiwa kufanywa kwa ajili yao kupitia mtoto Harry.
“Nyie watu kweli mnaonekana kuijua kazi yenu vyema , kwa kuweza kunusa harufu ya pesa kutoka kwetu, lakini naamini mmekosea kabisa kwani hatuna uhusiano wowote na huyo mtoto,sidhani kama tunaweza kutii …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments