Kilichomfanya Roma kutogundua mapema juu ya maadui wake kuwa jamii ya kundi la wanywa damu ni kutokana na aina ya hisia walizokuwa wakisambaza.
Moja ya sifa kubwa ya kutofautisha viumbe wa ajabu ndani ya dunia hii ni aina ya msisimko(Aura) wanayokuletea pale wanapokukaribia , kwa mfano hisia ambazo hupata pale mtu anapokutana na jini ni tofauti na hisia ambazo mtu hupata pale anapokutana na mchawi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments