Reader Settings

Ni baada ya lisaa Edna na Roma walikuwa ndani ya hospitali moja ndani ya jiji la Paris huku kitandani akiwa amelala Harry , pembeni akiwepo mama yake Harry ambaye alikuwa amepewa taarifa ya uwepo wa mtoto wake hospitalini.

Harry alikutwa na ugonjwa wa kupungua Damu yaani Anaemia . licha ya vipimo vya daktari kuwa na ukakasi mwingi kutokana na hali ya ajabu aliokuwa nayo Haryy …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next