Reader Settings

Kusema ukweli kwa muonekano wa Roma ilionyesha kabisa kutoka hotelini mpaka kufika ndani ya hili eno huenda alikuwa akitembea kwa miguu , kwani viatu vilikuwa na vumbi sio la kawaida kwa kuchafuka.

Roma hakuwa amevalia suti , bali alikuwa amevalia shati la kawaida , rangi nyeusi , Pamoja na suruali ya jeans huku mdomoni akiwa na sigara kwani alikuwa akivuta huku anatembea.

Fodessa muda wote …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next