Reader Settings

Roma licha ya kusikia mtu ambaye aliongea kwa sauti nyuma yake , ili kwamba yeye aruhusiwe kupita , ila hakugeuka kabisa nyuma Zaidi ya kumwangalia Fodesa aliekuwa akiangalia nyuma kwa mshangao.

Fodesa aliweza kushuhudia mwanaume mrefu wa takridani mita 1.9 akisogea eneo hilo , aliekuwa amevalia koti refu ,rangi ya Bluu ambalo lilikuwa na vishikizo ambavyo kwa kuviangalia tu ungegundua kuwa vishikizo vya koti …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next