Ukweli Roma aliweza kushangaa kutokana na kwamba ilikuwa ni ngumu sana kwa mwanamke kutoka visiwa vya Maldives kumfahamu , pale pale mawazo yake yalianza Kwenda mbali sana , alikumbuka tukio la Seventeen kujirusha baharini miaka kadhaa nyuma, lakini licha ya mawazo hayo kumjia ghafla aliona anawaza upuuzi , kwani alikuwa akiamini kwa asilimia mia moja Seventeen alishakufa.
“Nielezee vizuri kuhusu huyo mwanamke na ilikuwaje mpaka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments