Roma hakujua ni kwa namna gani Nadia aliweza kuingia kwenye mikono ya Apollo , lakini hata hivyo Apollo alimuona Nadia kama mwanamke wake , jambo ambalo sio kweli kwani Roma hakuwa na uhusiano wowote na Nadia.
“Ushirikiano gani unataka kutoka kwangu?”aliuliza Roma
“Mtu pekee ambaye ninapenda kuwa na ushirikiano nae ni wewe Hades , kama utakuwa upande wangu ,nitakufanya utawale Bara lote la Ulaya , …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments