Kila mmoja alitegemea Roma kuwaondoa wavatican hapo kambini , lakini ajabu alimpasua Kadinali Cruff kichwa chake , watu waliokuwa kwenye hofu,akiwemo Fodessa ,tumaini jipya lilirudi na kuona Roma kawachagua.
“You..yo..Dare to..”Aliongea Gabriel huku akirudi nyuma kwa wasiwasi mno , lakini Roma hakumjali ,kwanza alitoa tabasamu lake la kishetani na kumwangalia Gabriel.
“Pumbavu .. ulifikiri ningemuacha hai huyu mpuuzi mwenzako ,Mungu alimpangia kufa kwa mkono wangu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments