Reader Settings

Fodesa masikio yake yalikuwa vizuri sana na katika Maisha yake asingeshindwa kutofautisha Sauti ya Depney hata kidogo , alikuwa na uhakika ni sauti yake.

“Director , siamini kama ni wewe”Aliongea kwa mshangao.

“Haha..Ooh kumbe ni wewe Director Depney,Unaonekana kuwa na muda wa kuchezea mpaka kuanzisha kamchezo ka kujifanyisha wewe ni Apollo , Nakusikitikia mpango wako umefeli”Aliongea Roma huku hali ya chumba ikibadilika kutoka kwenye hofu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next