Dakika chache mbele Fodesa aliekuwa akiendesha meli ya mizigo ya jeshi , alifika sehemu waliokuwa wamesimama na kuwaruhusu wote kuingia na kuanza kuchukua uelekeo wa sehemu ambayo walikuwa wakiamini ndio Depney na genge lake walipokuwa wamesimamisha meli ya kivita.
Iliwachukua Zaidi ya lisaa limoja mpaka kufika eneo husika , lakini Fodesa alishindwa kuendelea mbele kwani eneo lote lilikuwa ni barafu kutokana na kitendo cha Alice …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments