TANZANIA
Ni siku nzima mheshimiwa Senga hakuonekana kabisa ndani ya ofisi yake , tokea jana yake kupewa taarifa kubwa sana kutoka kwa baba yake ,taarifa iliokuwa ikihusiana na Blandina Pamoja na mtoto wake Denisi ambao alikuwa akiamini kwa Zaidi ya miaka ishirini walikuwa wamekufa na ajali ya ndege.
Mheshimiwa alikuwa kwenye maumivu makali mno , hakuamini rafiki yake alieshibana na kupambana nae katika kutafuta Maisha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments