Reader Settings

Tukio ambalo lilitokea hapo bandarini kwa upande wa Roma alikosa maelezo mazuri ya kulielezea kabisa, jambo hilo halikuwa dogo na lilimkera sana Roma , kwani ni mara ya pili hii anakutana na mtu huyu ambaye uwezo wake ni mkubwa sana kuliko wa kwake.

Roma hakuona haja ya kubakia ndani ya hilo eneo Zaidi ya kurejea kwenye gari, Edna alikuwa vilevile kama alivyomuacha , hakuongea chochote …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next