Reader Settings

Roma aliweza kusikiliza maelezo yote ya Goodman na kuona kumbe hata mpango wa kuja hapa Paris ulikuwa ni wa kupangwa na Apollo Pamoja na Goodman?.

Ukweli mpaka hapo kwa sheria zake hakuona sababu kabisa ya kumsamehe Goodman kabisa, aliona ni kifo peke yake ndio ambacho kingeweza kumaliza hasira zake.

Lakini pia aliona safari ya kuja hapo Paris imemfanya kutatua baadhi ya matatizo , kwa mfano …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next