Kwa maelezo ya Bi Wema ni kwamba Yezi alivamiwa sehemu aliokuwa amepanga na majambazi maarufu kama Panya Road na kumpokonya kila kitu na tukio hilo mara baada ya kumfikia Mama Issa kutoka kituo cha kuelelea Yatima aliomba Yezi Akaishi kwanza kwa Edna, huku akitafuta namna nzuti ya kuhakikisha anaishi kwenye mazingira yaliosalama.
Baada ya Edna na Roma kusikia maelezo hayo kutoka kwa Bi Wema walijikuta …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments