Reader Settings

Haikueleweka Roma alikuwa amewafanyia nini , lakini wanajeshi hawa walionekana kuwa macho lakini viungo vyao havikuweza kufanya kazi , lilikuwa ni jambo la kushangaza ambalo Roma alifanya kwa wanajeshi wenye mafunzo takribani ya arobaini wote.

“Msiniangalie kwa macho ya mshangao , nishasema zoezi la laeo ni kijifunza namna ya kujiokoa , haijalishi huwezi kutembea , lakini kwasababu upo hai unatakiwa ujaribu bahati yako ya kujiokoa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next