“Roma wewe ni mjukuu wangu Denisi, unaweza usiamini maneno yangu lakini huo ndio ukweli na uthibitisho wote ninao na utanisamehe sana kwa kile ambacho ninakwenda kukuambia..”Aliongea na kisha akampa ishara Zenzei ampe mkoba wake aliokuja nao , uliokuwa upo pembeni na baada ya kuufungua alitoa karatasi na kumpatia Edna aliekaribu na Edna alimparia Roma.
Karatasi alioshika Roma mkononi ilikuwa ni cheti cha hospitalini cha Denisi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments