Mambo ya Edna yalikuwa ya kushangaza muda mwingine , siku mbili zote alikuwa amemchunia Roma na hakuongea neno lolote na yeye na alikuwa akijifanyisha kuwa bize , lakini sasa hivi baada ya Roma kupotea mbele yake alikuwa akilia kama mtoto.
Sophia , Bi Wema na Yezi walimuona Edna muda mwingine kama mtoto kutokana na mambo yake , kwani alikuwa mlaini mno likija swala la mahusiano.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments