Reader Settings

Ni siku ya asubuhi , siku nyingine baada ya Roma kumuahidi Edna kwamba ataelekea Kenya kwa ajili ya kumchukua mama yake , Asubuhi hii Roma alikuwa ashamaliza kujiandaa na ilikuwa ni saa mbili kamili akishuka kutoka juu kuelekea Sebuleni kwa ajili ya kuaga ili aondoke.

Jumla ya wanafamilia wote walikuwepo , Edna Sophia Bi Wema na Yezi walikuwepo wote mezani wakijiandaa kupata ‘Breakfast’ , Roma …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next