Roma kadri alivyokuwa akisogea karibu ndivyo akili yake ilivyoanza kukumbuka sura ya mwanamke aliekuwa mbele yake , licha ya kwmaba kumbukumbu zilikuwa zikija nusunusu.
Moja ya kumbukumbu ambazo zilikuwa zikipita kwenye kichwa chake ni kipindi akiwa mtoto kabisa wa miaka sita , akiwa amevalishwa gauni la Hospitalini huku akiwa amekalishwa kwenye chumba ambacho kilikuwa hakina madirisha Zaidi ya kamera na mwanga wa taa hafifu na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments