Blandina na Edna wote kwa Pamoja waligeuka kwa wasiwasi na kuita jina la Roma kwani walihisi Roma atakuwa amepigwa na Risasi , lakini baada ya kuangalia vizuri kwa ukaribu Roma alikuwa sawa tena alikuwa akitabasamu , jambo hili halikuwashangaza wao pekee lakini hata kwa Jenarali Wambai alishangaa mno.
Risasi iliotoka kwenye bunduki ya mheshimiwa Kamau iliishia miguuni kwa Roma na haikumgusa hata kidogo na hili …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments