Mheshimiwa Raisi Senga hakuwa na taarifa juu ya mtoto wake Denisi kuwa mwanajeshi na sio kwake tu hata kwa mke wake Damasi hajawahi kupata taarifa wala kufahamu Denisi kama atakuwa ni mwanajeshi na swala hilo liliwashangaza mno na walishangaa Zaidi kusikia Denisi anachukua mafunzo ya Ukomandoo nchini China , kwao ilikuwa ni Habari mpya kabisa ya kushitusha mno tofauti na vile walivyokuwa wakifahamu..
“Lidun naomba …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments