Naam ndani ya kampuni ya Edna mambo yalikuwa yakienda kama kawaida na Sasa Edna kidogo alikuwa amepunguza majukumu yake kwa kuyapunguza rasmi kwa CEO msaidizi Marko Ernest Komwe.
Edna alifanya hivyo kwa ajili ya kujikita zadi katika kazi zake nyingine ambazo zilikuwa zinahusiana na kujipanua Zaidi kibiashara huku akiacha maswala ya ndani ya kampuni yakiendeshwa na Ernest , lakini pia alitaka kuendelea kufanyia kazi swala …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments