Kusanyiko lilikuwa ni Zaidi ya lilivyokusudiwa , kwani licha ya kwamba sababu kubwa ilikuwa ni kwa ajili ya kumpongeza Roma kwa ajili ya kupanda cheo, lakini wafanyakazi walionekana kufurahia Pamoja na kufanya ukaribu wao kuongezeka, hususani kwa wafanyakazi na bosi wao Edna kwani siku zote walikuwa wakimuona kwa mbali.
“Jamani tumepoa sana , usiku huu ungekuwa mzuri kama tungekuwa na msanii wa kutuburudisha”Aliongea Ernest Komwe …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments