Reader Settings

“Kwa majina yangu halisi niliozaliwa nayo na nilio acha kuyatumia kwa miaka mingi ni haya”Aliongea mwanamke aliekuwa mbele ya Roma na kisha kuvuta pumzi ,hata kwa upande wa Nadia alionekana kushangaa , kwani mwanamke aliekuwa mbele yake alikuwa akimfahamu kwa jina la Joyce lakini pia hakuweza kufahamu mwanamke aliekuwa mbele yake alikuwa amevaa sura bandia.

“Naitwa Mellisa Luiz Veteran Undercover Agent with RedStorm”Mwanamke huyu alijitambulisha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next