Reader Settings

DAKIKA CHACHE NYUMA

“Desmond umefika lini Tanzania?”Aliongea Edna baada ya kumsogelea Desmond na hata Desmond alighairisha kuingia kwenye Lift na Desmond alijikuta akitabasamu.

“Edna ndio kwanza naingia Tanzania lakini sikudhani mtu wa kwanza kukutana hapa nchini ni wewe”Aliongea Desmond kwa uchangamfu.

“Ndio unafika ?”

“Yeah masaa mawili yaliopita , nimefikia kwenye hoteli hii”Aliongea Desmond huku akimwambia Edna wakaketi kwenye eneo la mgahawa kwa ajili ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next