Edna baada ya kurudi kwenye Lift , hata lile wazo alilokuwa nalo mwanzo la kumtafuta Roma lilikuwa limepotea , mrembo huyu alikuwa akijionea aibu na kuwa na hasira kwa wakati mmoja , ni kweli kabisa alikuwa na hisia na Desmond kipindi alipokuwa akianza chuo lakini jambo hilo hakutaka kabisa limfikie Desmond , lakini Zainabu Mdomo Mpana, ndio akaharibu kila kitu na Kwenda kutoboa siri yake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments