Reader Settings

Familia ya Mzee Atanasi ilipata Faraja sana baada ya Blandina kurudi , Jestina dada yake Blandina alikuwa ni mwenye furaha Zaidi kwa kuungana na Blandina kwa mara yake nyingine na sio kwake tu hata kwa Blandina pia aliweza kufurahi sana juu ya kuungana na familia yake tena kwa Zaidi ya miaka ishirini tokea aondoke.

Mzee Atanasi alimkaribisha vizuri mtoto wake huyo na alikuwa ni moja …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next