Reader Settings

“Malengo yao hapa duniani ni kwa ajili ya kuitawala dunia”Aliongea Zoe na kumfanya Nadia kushangaa mno.

“Lakini umesema kwamba wana uwezo mkubwa , kwanini mpaka sasa hawajaweza kufanya hivyo?”

“Niliuliza hivyo hivyo Nadia, na alinijibu kwamba miungu hio mpaka sasa haijaweza kuwa na uwezo wao wa kawaida kwani walipoteza mawe waliokuja nayo duniani ambayo yanawapa nguvu , kwa maneno marahisi ni kwamba miungu hio mpaka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next