Ni siku mbili zilikuwa zimepita Edna aliendelea kumchunia Roma kama kawaida yake na hakukuwa na maongezi mengi kati yao zaidi ya Edna kumtingishia Roma kichwa kila wanapoamka asubuhi kama salama , Edna alikuwa ameongeza ukauzu kwa asilimia mia na kumfanya hata Bi Wema na wanafamilia wengine wasielewe kinachoendelea baina yao.
“Kuna jambo naliona haliko sawa Bi Wema na naomba nikuulize kwasababu wewe umeishi na Roma …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments