Baga kutokana na wivu wake na mipango yake aliokuwa nayo juu ya Mage , alishindwa kabisa kuendelea na safari , alirudi ndani ya ukumbi kwa namna ya kunyata , ili kutaka kufahamu kinachoendelea, lakini alichokiona kilimnyong`onyesha kabisa na kukunja ngumi na kurudi alikotoka.
Kiss liliendelea kwa takribani dakika tano tu , Roma alimwachia Mage na kumvuta kwenye chumba cha pembeni kilichotumika kuhifadhia vifaa na kisha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments