Reader Settings

Ilikuw ani siku ya jumapili , Edna aliamka asubuhi kama kawaida , huku akichangamkiwa na Blandina mama yake Roma wakati anashuka mezani kwa ajili ya kupata kifungua kinywa.

Blandina tokea ujue ukweli kwamba Edna aliolewa akiwa Bikra basi alitokea kumpenda mno na kuona pia mtoto wake ana bahati sana kupendewa na mwanamke mrembo kama Edna.

Sasa tokea siku hio alikuwa akihakikisha anamuonyeshea Edna mapenzi ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next