Reader Settings

2005- UNKNOWN PLACE

Ni mwaka 2005 anaonekana Athena akiwa amembeba Msichana mdogo rika la miaka kumi na moja hivi akiwa ndani ya kambi ya Kisayansi ambayo bado haikufahamika kambi hio ipo sehemu gani katika uso wa dunia.

Athena baada ya kuingia ndani ya kambi hii ya kufanyia majaribio ya kisayansi , kambi ambayo ilikuwa na teknolojia ya hali ya juu , alimuweka msichana huyo mdogo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next