Naira alikuwa ni mdogo , lakini akili yake ilikuwa na uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo , alikuwa akisikia juu ya nguvu ambayo haitokani na maada yoyote, Energy ambayo wanasayansi wengi duniani walikuwa akifanya utafiti kwa ajili ya kuigundua na namna ya kuitegeneza.
“Kama ni kweli usemayo , rasilimali mlizopoteza zinahusiana nini na Ant-matter energy?”Aliuliza Naira na kumfanya Athena kutabasamu na kumpa ishara ya kumfuata kuelekea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments